Hatimae leo nimeanza mazoezi

Hatimae leo nimeanza mazoezi

Unaweza kufanya mazoezi km lishe yako duni utabaki palepale.hepuka vyakula vya wanga na sukari hipo siku utarudisha feedback
Kama anahaja ya kupungua atumie vegan diet walau siku tano,sita kwa wiki ndani ya mwezi mmoja anakata weight ya kutosha.hizo siku 2/1 zinazobaki unakula unachojiskia.
 
Hahahaha umenichekesha saana yaan push up 3 ?
Afu mhadithie na mkeo jins ulivyosafisha macho na wavaa taiti
Mambo yamekolea yaani leo naharisha usipime
 
Kama anahaja ya kupungua atumie vegan diet walau siku tano,sita kwa wiki ndani ya mwezi mmoja anakata weight ya kutosha.hizo siku 2/1 zinazobaki unakula unachojiskia.
Mi tuongee mengine tu diet siiwezi, nijitese kula hivi hivi
 
Diet sio lazima sana wakuu.

Ila tu unaweza kupunguza kama ulikuwa unapiga kilo moja ya ugali basi piga nusu alafu fanya mazoezi na matunda yasikupite kwa siku utaishi vizuri tu.na huo uwe ndo utaratibu wa maisha yako.

Ukiwa hvyo utajiona automatically unapunfuza kula na utakuwa unafurahia kula kiasi kidogo,na utajiona tu kwamba kama hutumii nguvu nyingi basi unapunguza kula.

Sio kushindia juisi wiki nzima alafu ukipungua unarudi kula wanga tena unanenepa tena.

Lazima program unayotumia kukupunguza iwe ndo utaratibu wako wa maisha ikiwa hutaki unene kamwe basi na program yako iwe ya milele,kama unaikosa ni siku chache tu
 
Kama anahaja ya kupungua atumie vegan diet walau siku tano,sita kwa wiki ndani ya mwezi mmoja anakata weight ya kutosha.hizo siku 2/1 zinazobaki unakula unachojiskia.
ebu fafanua zaidi mkuu hapo kwenye "vegan diet" kwa faida ya wengi.
 
Vegan diet ni aina ya mlo usio na nyama,maziwa ama chochote kinachohusiana na wanyama.Kwahyo unakula mbogamboga,matunda na nafaka tu.

Mfano kuanzia Jumatatu mpaka ijumaa,inakuwa mwendo wa matunda na mbogamboga tu waweza ongezea na ndizi na viazi,kisha jumapili inakuwa cheat day unakula unachotaka.ukifanya hivyo wiki mbili tu unakata weight ya kutosha.Hizo siku sita ama tano hakikisha unakula hata milo minne kwa siku,usikae na njaa ila ule mbogamboga,na matunda,najitahidi usitumie mafuta mengi kwenye kupika ikiwezekana milo hyo iwe chukuchuku.na unywe maji mengi.

Kuna nyengine ya tende na maziwa.Mimi binafsi nilifanya hyo.asubuhi nkawa nakunywa glass moja ya maziwa na vipande sita vya tende,mchana hivyo hivyo ma jioni.nakula na matunda na maji mengi.nilifanya kwa siku kumi.nlikata kilo karibia nne.
 
Hapo nimekusoma mkuu nitajaribu na hiyo, ila samahani hizo mboga mboga unakula na ugali?wali au mboga mboga tupu wiki nzima?
 
mboga mboga huwa natengeneza mchemsho na ndizi,viazi,maboga.Kwa mfano mlo wa mchana ndizi mbili au tatu zinatosha kabisa.Uzuri wa ndizi hazinenepeshi kama nafaka (unga wa ugali,ngano,etc).
 
Poa nimekuelewa mkuu, ila gemu haisumbui kwa milo kama hiyo?
 
Mwanangu asikwambie mtu ukila machukuchuku unakuwa mwepesi ile mbaya,yani unateleza kama messi.Alafu nimesahau humohumo kwenye mchemsho unatupia na njugu,karanga,korosho etc.Maji kwa wingi tena usinywe maji ya baridi,ya kawaida ama ya uvuguuvugu.

Alafu kama ni mpenzi wa chai,una replace sukari unatumia asali mbichi.Baads ya mwezi ulete mrejesho maisha yalivyobadilika.
 
Back
Top Bottom