Hatimae leo nimeanza mazoezi

Hatimae leo nimeanza mazoezi

Hahhhha wee jamaa angalia usanguke unavyoangalia tight
Juice ya kitunguu saumu vipi ulikuendesha nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Haina radha kabisa nilipiga funda moja tu nikaiacha
 
Hongera kwa kujali afya mkuu ila punguza uvivu.
Hata kama mwanzo mgumu ndio uanze na push up 3 kweli!!?.
Jitahidi hata 20 kila siku sio mbaya kwa kuanzia.
Kila la kheri mkuu.
 
Hongera kwa kujali afya mkuu ila punguza uvivu.
Hata kama mwanzo mgumu ndio uanze na push up 3 kweli!!?.
Jitahidi hata 20 kila siku sio mbaya kwa kuanzia.
Kila la kheri mkuu.
aya asante ntaongeza
 
Ifanye iwe lifestyle yako..usifanye tu mazoezi afu ukapungua kidogo ukarelax..utaanza upyaaa.
Pia you are what you eat,punguza kula vyakula vyenye wanga na mafuta. kula sana vyakula vya unga usiokobolewa as inacontain more fibre inayokufanya uwe full kwa muda mrefu, brown bread, brown rice, mboga mboga, matunda, maji kwa wingi. n.k.
weight loss ni 80% diet 20% exercises.
Good Luck!
 
Thanks, ila kwenye diet hapo ndio kimbembe
 
Mimi nimekuzidi kidogo tu. Push up 50 tu mi napiga, squat 50, squat in geri 50, kata tumbo 50.

Kwenye kukimbia nimekuzidi, nakimbia masaa 2 tu.
 
Mimi nimekuzidi kidogo tu. Push up 50 tu mi napiga, squat 50, squat in geri 50, kata tumbo 50.

Kwenye kukimbia nimekuzidi, nakimbia masaa 2 tu.
Hongera mkuu, mi kwa vile ndio naanza ila I hope nitafika huko. Unajua ukianza inabidi taratibu ukianza ghafla nyingi unaweza amaka asubuhi miguu haiukunji kama ya ngongoti
 
Yaani hapo ndio umefanya mazaoezi kwa kupiga hizo tupush up tu3, tusit up tu 4 tu????
 
Habari wana jamvi.
Leo nimeanza kutimiza ile adhima yangu ya kuhakikisha heshima haipotei nyumbani kwangu. Nimeanza kwa mazoezi ya kukimbia, nimepiga push up 3, sit up 4 na mzaozi mengine ya viungo. Naomba wataalam wa mazoezi wanipe maelekezo zaidi ili niwe fit kwa muda mfupi. Halafu mazoezi bana yana raha yake nimejilaumu kwanini sikuanza zamani, yaani njiani unakutana na mizigo ya kufa mtu halafu imevaa taiti tu. Yaani nimesafisha macho achilia mbali kujenga mwili na nahidi sitoacha kufanya mazoezi, kumbe watu wanafaidi halafu hata hatuambiani tunaambiana mambo ya kitapeli tu.
Halafu leo nimepita eneo moja nimekuta tangazo wanauza juisi ya mbakola, mwenye uelewa nahii juisi anipe maelekezo, maana mi mtaalam wa kuonja onja, ila siku hizi nimeacha baada y kuingia mkenge kuonja juisi ya kitunguu swaumu, nilijuta siku hiyo nikasikitikia hela yangu
Umeanza kivivu sana push up 3 na Sit up 4 huo ni mchezo mkuu mazoezi lazima ujitese na ukubali kuumia na inaonesha hutaki kujitesa wewe
 
Umeanza kivivu sana push up 3 na Sit up 4 huo ni mchezo mkuu mazoezi lazima ujitese na ukubali kuumia na inaonesha hutaki kujitesa wewe
Yaani hizo tu jana asubuhi nimeamka mwaili kama nimepigwa. Ila naongeza kidogo kiodogo.
 
Back
Top Bottom