Hatimae leo nimeanza mazoezi

Hatimae leo nimeanza mazoezi

Vegan diet ni aina ya mlo usio na nyama,maziwa ama chochote kinachohusiana na wanyama.Kwahyo unakula mbogamboga,matunda na nafaka tu.

Mfano kuanzia Jumatatu mpaka ijumaa,inakuwa mwendo wa matunda na mbogamboga tu waweza ongezea na ndizi na viazi,kisha jumapili inakuwa cheat day unakula unachotaka.ukifanya hivyo wiki mbili tu unakata weight ya kutosha.Hizo siku sita ama tano hakikisha unakula hata milo minne kwa siku,usikae na njaa ila ule mbogamboga,na matunda,najitahidi usitumie mafuta mengi kwenye kupika ikiwezekana milo hyo iwe chukuchuku.na unywe maji mengi.

Kuna nyengine ya tende na maziwa.Mimi binafsi nilifanya hyo.asubuhi nkawa nakunywa glass moja ya maziwa na vipande sita vya tende,mchana hivyo hivyo ma jioni.nakula na matunda na maji mengi.nilifanya kwa siku kumi.nlikata kilo karibia nne.
shukrani mkuu,nimekuelewa!
 
Komaa Sana na push up hizi zitakusaidia Sana maana sitakuwa fiti kila sehem,zitaupangilia vizuri mwili wako! Push up tatu badae Tano,sita kumi Hadi utafika 50 Hadi 100 usiwe na haraka
Naomba nikutie moyo mazoezi ukiyazoea Yana Raha sanaa
 
asante nimekusoma, asali je vipi?
Unategemea unfanya mazoezi gani! Kuna mazoezi mengine yanataka upige Sana msosi achana na wajuaji wa jamijforums! Kama unfanya hayo ya kukimbia sawa lakini kama unafanya weight lifting alafu huli jiandae kupoteza marinda Dudu Baya akuone
 
Mimi nina kakitambi kana ni nyemelea yani kameniganda mazorzi napiga na kuacha. sasa fomula gani nitumie kukatoa bila kuathiri kilo nilizo nazo.

Kuna kipindi nilifanya extensive diet nikapungua tena ikawa shida.

Ifuatayo ni milo yangu kwa siku naomba ushauri wapi nipunguze:

Asubuhi
1 Viazi mviringo vya kucheemsha
2. mayai ya kukaanga 2 au matatu (spanich egg)
3. soseji 3 ( za kuku ama kitimoto)
4. Kahawa na maziwa vikombe kimoja na nusu
5. fresh juisi glasi moja (sometime inakuwa ya tikiti au nanasi au papai. siku nyngine inakuwa mix
6. vipande viliwi au kimoja cha omellette
7. matunda (ndizi moja, nanasi vipande 4, embe
8. cookie moja.

Mchana
1. Hapa mara nyingi nakula wali na nyama ya ngombe na kuku katika mapishi mabali mabli
2 matunda na juisi fresh.

Usiku
1. nakula wai ama mashed potatoes, nay red meat katika mapishi mablimbali
2. Bia 2 - 4

NB: mboga za majani napata kwa nadra sana maana hazipatikani kila siku.
Hakuna shortcut mkuu we ingia gym uteseke tena mfululizo au hata kama uko home FANYA mazoezi ya tumbo hata dakika therathini sepa zako kwenye mishe zako! Gym watakuwa Wana ku force mfano leo piga push up 20,kesho 50 ukiwa mwenye huwezi kujitesa! Asikwambie mtu tumbo kulipata ni very easy but kuliondoa aisee ufanye kazi! Mi niliingia gym karibu mwezi wenzangu wote tulio Anza nao wengi walisepa siku ya tatu tu,ndani ya huo mwezi hata dalili za tumbo kusepa hazikuwepo mpaka nilipoanza kuwa nafanya diet usiku ndio likawa linashuka na badae nikakwambia napiga weight lifting na push ups ndio tumbo likasepa japo nakiri kuwa kwa wiki nilikuwa naenda 4 times Ila nikiwa home sili hovyo
Na tumbo ndio linaongoza kuwa na mzoezi mengi lakini kulitoa ujitoe kweli kweli
 
Unategemea unfanya mazoezi gani! Kuna mazoezi mengine yanataka upige Sana msosi achana na wajuaji wa jamijforums! Kama unfanya hayo ya kukimbia sawa lakini kama unafanya weight lifting alafu huli jiandae kupoteza marinda Dudu Baya akuone
Nimkusoma mkuu
 
Daaah! Mi huwa napiga pushups 15 najiona mvivu balaa licha ya kuwa nafanya na mazoezi mengine halafu naona jamaa anajisifia na pushups 3 very interesting [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu una kg ngapi?
 
mwanzo mgumu sheikh...mimi nilianza na push up 5 kwa siku,lakini now nimeongeza nafika hadi 10 kwa kila muda nnaoingia gym,iwe asubuh au jioni....so mwache aanze kwa kadri ya uwezo wake, siku zinavyokwenda atadevelop. mazoezi ni wito kama kazi ya uwalimu tu...yanahitaji kusafia moyo vyenginevo ukivaba unayakimbia mapema sana...
 
Hakuna shortcut mkuu we ingia gym uteseke tena mfululizo au hata kama uko home FANYA mazoezi ya tumbo hata dakika therathini sepa zako kwenye mishe zako! Gym watakuwa Wana ku force mfano leo piga push up 20,kesho 50 ukiwa mwenye huwezi kujitesa! Asikwambie mtu tumbo kulipata ni very easy but kuliondoa aisee ufanye kazi! Mi niliingia gym karibu mwezi wenzangu wote tulio Anza nao wengi walisepa siku ya tatu tu,ndani ya huo mwezi hata dalili za tumbo kusepa hazikuwepo mpaka nilipoanza kuwa nafanya diet usiku ndio likawa linashuka na badae nikakwambia napiga weight lifting na push ups ndio tumbo likasepa japo nakiri kuwa kwa wiki nilikuwa naenda 4 times Ila nikiwa home sili hovyo
Na tumbo ndio linaongoza kuwa na mzoezi mengi lakini kulitoa ujitoe kweli kweli
kufanya diet usiku unamaanisha nini? kwamba usiku huli chakula kbs au kuna mlo maalum unakulaga? tupeane mauzoefu mkuu
 
Unakula msosi ila kidogo Sana maana mwili haufanyi kazi ngumu,ukila Sana mwili haufanyi kazi chakula hakitakuwa digested so kitakuwa converted into fat na kuwa stored tena tumboni so unaweza Kula hata ndizi mbili ukalala
 
mwanzo mgumu sheikh...mimi nilianza na push up 5 kwa siku,lakini now nimeongeza nafika hadi 10 kwa kila muda nnaoingia gym,iwe asubuh au jioni....so mwache aanze kwa kadri ya uwezo wake, siku zinavyokwenda atadevelop. mazoezi ni wito kama kazi ya uwalimu tu...yanahitaji kusafia moyo vyenginevo ukivaba unayakimbia mapema sana...
Nakupa big up sana mwana, tatizo wengi wamekariri ukianza mazoezi siku ya kwanza push up 200, unakimbaia kilometa 100, kumbe sio hata gari jipya siku ya kwanza hupigi speed 120. Mdogo mdogo ndio mpango unauzoesha kwanza mwili, ukikaa sawa sasa ndio unapiga hizo mnazo taka
 
Hakuna shortcut mkuu we ingia gym uteseke tena mfululizo au hata kama uko home FANYA mazoezi ya tumbo hata dakika therathini sepa zako kwenye mishe zako! Gym watakuwa Wana ku force mfano leo piga push up 20,kesho 50 ukiwa mwenye huwezi kujitesa! Asikwambie mtu tumbo kulipata ni very easy but kuliondoa aisee ufanye kazi! Mi niliingia gym karibu mwezi wenzangu wote tulio Anza nao wengi walisepa siku ya tatu tu,ndani ya huo mwezi hata dalili za tumbo kusepa hazikuwepo mpaka nilipoanza kuwa nafanya diet usiku ndio likawa linashuka na badae nikakwambia napiga weight lifting na push ups ndio tumbo likasepa japo nakiri kuwa kwa wiki nilikuwa naenda 4 times Ila nikiwa home sili hovyo
Na tumbo ndio linaongoza kuwa na mzoezi mengi lakini kulitoa ujitoe kweli kweli
Likikuganda ni balaa.
 
Likikuganda ni balaa.
Alafu nilichokuja kugundua wanamawke wengi Sana wanachukua vitambi,maana ukienda kwenye ma gym wanafunguka wenyewe kuwa daa Mr wangu angekuwa anafanya mazoezi kama haya ya kutoa kitambi ingekuwa poa Sana! Hata kama unacho alafu hakwambii ni kwamba anaamua tu kukifanya hakichukii
 
Mi wa kwangu alikuwa anasema live.
 
Mtoa mada tunaomba mrejesho sasa hivi umefikia wapi kwenye mazoezi???...
 
Ni kwa kua alijua unaweza kuki manage akigundua kukitoa huwez anakutia moyo kuwa anakipenda kumbe walaaa
Hajawahi kusema anakipenda, huwa anachukia basi tu. ye huwa ana sema " you have to do something about this..."
 
Sasa hivi si haba napiga push up 20, kata tumbo 50, nakimbia round 5 kuzunguka uwanja, squat 50, sit up za kufa mtu, naruka kamba 400 na jioni napige bao zangu 3 taratibu kabisa
 
Back
Top Bottom