Hatimae leo nimetua Toronto Canada

Kama kijana jitahidi ufike na kuishi nchi zilizoendelea angalau hata mwaka mmoja. Kuna kitu utakipata kitakusaidia maishani kwako.
USA,UK,CANADA,GERMANY,SWEDEN,AUSTRALIA ETC
Taratibu tutafika
 

I'm from T dot O....

From Kyanada!
 
Usijari hata mimi miaka ijayo kama 2025 hivi nitaingia ISRAEL maana ninauhakika kupitia hawa wamissional nitatoboa tu, Acha nitunze akiba ya maneno kwanza mda ukifika nitayatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…