Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Taratibu tutafikaKama kijana jitahidi ufike na kuishi nchi zilizoendelea angalau hata mwaka mmoja. Kuna kitu utakipata kitakusaidia maishani kwako.
USA,UK,CANADA,GERMANY,SWEDEN,AUSTRALIA ETC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu tutafikaKama kijana jitahidi ufike na kuishi nchi zilizoendelea angalau hata mwaka mmoja. Kuna kitu utakipata kitakusaidia maishani kwako.
USA,UK,CANADA,GERMANY,SWEDEN,AUSTRALIA ETC
Vitu vingi ambavyo kwa ujumla huitwa EXPOSURE.Kitu gani mkuu kwa sisi ambao hatujakanyaga dunia ya kwanza angalau utupe tips.
Muhimu mzee unasambaza mavi duniani kama mzee wa msogaKabla sijafa nitahakikisha nazunguka dunia angalau kidogo, sio unazaliwa tandahimba alafu unakufa tena tandahimba vumbi juu ya vumbi mtindo mmoja.
Traveling is one of my best adventures.
Mimi nasambaza mbegu mkuu, nitahakikisha kila sehemu naacha copy yangu.Muhimu mzee unasambaza mavi duniani kama mzee wa msoga
Unamtupia juju [emoji3] bongo nuksiDuh! Si ungesema mapema Sasa ningejua nakubakisha bakisha vipi mkuu. Ili tuendelee kuteseka [emoji38]
Unatia mimba mcanada halafu unakimbia nchi nyengine [emoji3]Mimi nasambaza mbegu mkuu, nitahakikisha kila sehemu naacha copy yangu.
Habari Watanzania Wenzangu, Naamini zoezi la Sensa linaendelea hapo nyumbani....
Walisema Wahenga Mungu hamtupi Mja wake, mimi ni mmoja wa watu wanaoamini mafanikio ya mbali na nyumbani, si kwasababu nyumbani hapafai, hapana bali ni imani ambayo ukiwa mbali na nyumbani akili inafanya kazi mara 100 zaidi kwasababu hakuna wa kukusaidia.
Baada ya miaka 6 Tangu kumaliza chuo kikuu nilianza harakati za kutafuta chimbo (CANADA or The US) kazi haikua nyepesi hadi mwaka 2021 ndipo Mwenyezi MUNGU muweza wa yote alipofungua milango yake nikafanikiwa kupata Visa ya CANADA (Study Permit) ya miaka 2
kwanini CANADA na si US
1. Canada wanatoa miaka 3 ya kufanya kazi baada ya kumaliza masomo (PGWP) baada ya miaka 2 ya PGWP unaweza kuomba PR kwakua tayari utakua na kitu wanayotaka inaitwa (Canadian Experience)
2. Kwasasa Canada ndi kimbilio la wahamiaji wengi (China, Wahind, Japanese,Nigerians) woote hawa kila siku wanatua toronto.
Kwanza Mh AGREY MWANRI unatakiwa uende Ukafanye kitubio kwa Mungu wako kufananisha TORONTO na vitu vya ajabu.
Ndugu zangu, Wazungu wameendelea, hawa jamaa ni balaa lingine sio wenzetu asee.
Baada ya kutua hapa nimethibitisha WATANGANYIKA HATUONGE KINGEREZA, TUNATAMKA MANENO YA KINGEREZA, kingine hawa jamaa wanakula uchafu asee, yaani hapa natamani nipate Ugali nyama choma eti unakutana na piza*/baga yaa shida tupu.
View attachment 2332104View attachment 2332105View attachment 2332106View attachment 2332107
CC; Daby harakati za kitambo sana
Hapo ni mabingwa wa kuongeza kiingereza cha puani, akitamka spoon we utaambulia poon. Dadeki. Pagumu kweli, sikukatishi tamaa, nimekaa hapo 2years.
Kuwa makini maana ukikosea step unaweza kuwa kama Lemutuz unakaa mbele miaka 30+ alaf unarudi na miaka 60 ila bado unaishi kwa baba
Tuma kapicha ukiwa Yonge street au Dundas streetUto tupicha twa Toronto tumegoma kufunguka kwangu all in all all the best there