Hatimae leo nimetua Toronto Canada

Hatimae leo nimetua Toronto Canada

One step at a time...safari moja ikaanzishe nyingine
 
Uko sahihi, wabongo wengi sana hawana exposure nje ya vijiji au mitaa yao na hiyo inawafanya kuwa na mawazo na fikra duni sana.
Kama kijana jitahidi ufike na kuishi nchi zilizoendelea angalau hata mwaka mmoja. Kuna kitu utakipata kitakusaidia maishani kwako.
USA,UK,CANADA,GERMANY,SWEDEN,AUSTRALIA ETC
 
KILA la kheri utumwani ndugu ukumbuke kujenga hata kibanda home mambo yakiwa safi
 
Kama kijana jitahidi ufike na kuishi nchi zilizoendelea angalau hata mwaka mmoja. Kuna kitu utakipata kitakusaidia maishani kwako.
USA,UK,CANADA,GERMANY,SWEDEN,AUSTRALIA ETC

Sio exposure tu mkuu, hata ustaarabu pia

Wenzetu wametuacha mbali sana kwenye kuepuka kufanya mambo ya hovyo hovyo...
 
Kuliko kwenda Burundi tulikoelekezwa, Bora akabebe box Canada, maana hii Tozonia sio kabisa.
Sio kama huna macho bora kusepa,sisi ngoja tubanane fursa na wachina tutakuja holiday huko kutosha macho
 
Back
Top Bottom