Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hahaha unalijua box mzee au unalisikia...Kuliko kwenda Burundi tulikoelekezwa, Bora akabebe box Canada, maana hii Tozonia sio kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha unalijua box mzee au unalisikia...Kuliko kwenda Burundi tulikoelekezwa, Bora akabebe box Canada, maana hii Tozonia sio kabisa.
Hili swali inabidi ajibu jamaa hapo juu sio mimi...Waziri wa Tz analipwa bei gani?
Umepanda one way au umeconnect to Doa. Ila umetutia moyo sana nasisi za kwetu ziko njiani. Pambana kijanaHabari Watanzania Wenzangu, Naamini zoezi la Sensa linaendelea hapo nyumbani....
Walisema Wahenga Mungu hamtupi Mja wake, mimi ni mmoja wa watu wanaoamini mafanikio ya mbali na nyumbani, si kwasababu nyumbani hapafai, hapana bali ni imani ambayo ukiwa mbali na nyumbani akili inafanya kazi mara 100 zaidi kwasababu hakuna wa kukusaidia.
Baada ya miaka 6 Tangu kumaliza chuo kikuu nilianza harakati za kutafuta chimbo (CANADA or The US) kazi haikua nyepesi hadi mwaka 2021 ndipo Mwenyezi MUNGU muweza wa yote alipofungua milango yake nikafanikiwa kupata Visa ya CANADA (Study Permit) ya miaka 2
kwanini CANADA na si US
1. Canada wanatoa miaka 3 ya kufanya kazi baada ya kumaliza masomo (PGWP) baada ya miaka 2 ya PGWP unaweza kuomba PR kwakua tayari utakua na kitu wanayotaka inaitwa (Canadian Experience)
2. Kwasasa Canada ndi kimbilio la wahamiaji wengi (China, Wahind, Japanese,Nigerians) woote hawa kila siku wanatua toronto.
Kwanza Mh AGREY MWANRI unatakiwa uende Ukafanye kitubio kwa Mungu wako kufananisha TORONTO na vitu vya ajabu.
Ndugu zangu, Wazungu wameendelea, hawa jamaa ni balaa lingine sio wenzetu asee.
Baada ya kutua hapa nimethibitisha WATANGANYIKA HATUONGE KINGEREZA, TUNATAMKA MANENO YA KINGEREZA, kingine hawa jamaa wanakula uchafu asee, yaani hapa natamani nipate Ugali nyama choma eti unakutana na piza*/baga yaa shida tupu.
View attachment 2332104View attachment 2332105View attachment 2332106View attachment 2332107
CC; Daby harakati za kitambo sana
Unataka kumfanyaje usilalie bahati ya mwenzio mlango waziiMkuu naomba unitext WhatsApp nina jambo na wewe 0743546781.
Acha makasirikoWhat is the big deal kuwa Canada!!??
inaonyesha ulikuwa na maisha ya tabu sana Bongo......
Ni kawaida sana
Kina Nyani Ngabu na wezankeUkishakaa vizuri ututumie mialiko sasa nasisi tuje huko, usjie ukawa kama hawa ambao wanatudharau tu
Chaka gumu sana. Hilo mzee baba umesema ukweliHapo ni mabingwa wa kuongeza kiingereza cha puani, akitamka spoon we utaambulia poon. Dadeki. Pagumu kweli, sikukatishi tamaa, nimekaa hapo 2years.
Ndio maana mnati.wagw hovyo subiri utapeliweAcha makasiriko