Hatimae leo wamekubali kwamba zanzibar ni mkoa

Imekuwaje huu uzi upo jukwaa la ajira wakata pointi sio mambo ya ajira?
 
Usidanganyike kirahisi na hizo hadaa..wameshafanya karibia kila kitu kinachowapa hadhi ya kutambulika kama nchi
Rais
Bunge
Majeshi
Mipaka
Bendera
Wimbo wa taifa
Mipaka
Bado segment moja tu nyembamba sana SIASA
Majeshi yao ni KMKM, ni kama PCCB ya huku. Actually hapo kwenye majeshi ndipo panapowakwamisha, maana hawawezi kuleta za kuleta
 
Majeshi yao ni KMKM, ni kama PCCB ya huku. Actually hapo kwenye majeshi ndipo panapowakwamisha, maana hawawezi kuleta za kuleta
Zanzibar Kuna ZAECA Ambayo Inafanya Kazi Kama PCCB

Kule Kuna JKU Ambayo Ndiyo JKT Huku
KMKM
VIKOSI VYA SMZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…