Aaah wapi? Weka picha bana.Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa bolingo motema na ngai.....
Aaah wapi? Weka picha bana.
Hahahaha! Kumbe upo?Picha ya Bolingo na Tema?????
Muamini tu usiwe kama Thomaso.
Hahahaha! Kumbe upo?
Nafuatilia sana kupitia BAE Radar, namuaona PakaJimmy anabishana na Madame B lakini Blaki Womani anamdhibiti kisha ni sehemu gani waende wakele bakurutu la ukweli tehe tehe.
Hi radar from BAE system mbona imeanza kusumbua Mkuu? Najaribu kuilekeza kule chumbani kwa Arushaone na Madame B inazima
hahahahahahha LOL
Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa bolingo motema na ngai.....
Hehehehe! Hebu elekeza alipo Lily Flower manake nasikia analia toka atoke arusha kisa Mungi kamtelekeza lol.Nafuatilia sana kupitia BAE Radar, namuaona PakaJimmy anabishana na Madame B lakini Blaki Womani anamdhibiti kisha ni sehemu gani waende wakele bakurutu la ukweli tehe tehe.
Hehehehe! Hebu elekeza alipo Lily Flower manake nasikia analia toka atoke arusha kisa Mungi kamtelekeza lol.
Jamani TANGA acheni iitwe TANGA kwani ni TANGA kweli! Anayebisha afungiwe jiwe la tani moja atupwe kwenye kina kirefu baharini manina na robo tatu zake abishaye!
Tena mkituondolea huyu Madame B hapa mjini mtakuwa mmetusaidia sana. Ila mjihadhari kama hakuna supu ya pweza wala madafu huko mjue mtakosa mwana na maji ya moto. Mtoto kashindikana mpaka kwa babu yake.:becky::becky::becky:Haaaa.....hv kumbe JF HQ Chugga tuna mvuto.....kuna hatari ya ndoa za watu kuvunjika hapa....hivi Madame B kapatwa na nini...? ni PJ kamzuzua au Arushaone.....? ki ufupi Tanga kunawaka moto wa bolingo motema na ngai.....
Jamani TANGA acheni iitwe TANGA kwani ni TANGA kweli! Anayebisha afungiwe jiwe la tani moja atupwe kwenye kina kirefu baharini manina na robo tatu zake abishaye!
Basi leo utaota!