Marekani yeye anaangalia maslahi yake wala sio kitu kingine kama mafamba wanavyodai eti anajali haki sijui za binadamu sijui demokrasia, hapa kakubali kampuni ikachimbe sio kwamba kuna kilichobadilika venezuela ila kwa sasa anahitaji mafuta tu.
Hilo shart gumu sn Kwa USA maana inabidi Aachie mali zote za Venezuela alizoshikilia maana pesa yote ya Venezuela anampa mpinzani wa madulo kwakuwa ndio anamtambua.Hùyo maduro bila russia angekua ameshangolewa na mabeberu. Rassia ilipeleka askari 100 venezuela na ndege 2 aina su 35.hapo marekani shughuli ikaishia hapo.na sharti alilotowa maduro kwa marekani kabla ya mazungumzo amtambue maduro ndio rais wa venezuela
Hapa sio kumgeuka Urusi.Amepima ni wapi kuna nafuu.Watu wasife njaa kwa faida ndogo ya kuisaidia Urusi kwa sababu Urusi ana mianya mingi ya kupandisha uchumi wake na kukwepa vikwazo kuliko anachoweza Kufanya Venezuela bila kuchimba mafuta.Kwahiyo Maduro kamgeuka swahiba wake Puttin? Maana ameruhusu mafuta yake yachimbwe ili kuziba mwanya wa yale ya Russia.
Nocholaus Madro,Rais wa Venezuela amekubali kukaa meza moja na mpinzani wake Juan Guaido ili kuandaa Uchaguzi wa Kidemokrasia ambalo ndilo lilikuwa Sharti kubwa la Kulegezewa vikwazo.Marekani yeye anaangalia maslahi yake wala sio kitu kingine kama mafamba wanavyodai eti anajali haki sijui za binadamu sijui demokrasia, hapa kakubali kampuni ikachimbe sio kwamba kuna kilichobadilika venezuela ila kwa sasa anahitaji mafuta tu.
Ungejua Venezuela ipo hapo ilipo sababu ya Urusi usingeongea utumbo huuVenezuela hawezi kujali Russia atasemaje kwa sababu Russia wenyewe wachovu hawawezi kumsaidia chochote wakati na wenyewe njaa inawaua.
Mambo mengi anaongea kwa hisia zake tu.Ungejua Venezuela ipo hapo ilipo sababu ya Urusi usingeongea utumbo huu