Hatimae Metacha Mnata aomba Msamaha kwa Yanga na wadau wa Soka kwa Ujumla

Hatimae Metacha Mnata aomba Msamaha kwa Yanga na wadau wa Soka kwa Ujumla

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu At last Redemption and Apology imetoka kwa Mhusika. Its a good start. Tamko la klabu Jana lilikuwa Sahihi. Following Punishment haziepukiki.But it's life , we live, make mistakes and learn..

Ndio inapopatikana ( KNOWLEDGE, WISDOM AND EXPERIENCE THEN MATURITY). Na tayari Metacha publicly kaomba msamaha..

MASHABIKI WAMFUNGULIE NAFSI SASA.
UADUI HAUWAJENGI HAWA VIJANA WANA SAFARI NDEFU KUWA PROFESSIONALS.

Uongozi nadhani usiliongelee tena hili publicly.
Walifiche kwenye good team performance baadae metacha aonekane trainings akijumuika na wenzake happly, pictures na Viongozi akishiriki casual agendas kuwarudisha imani Mashabiki.

Ahudumu kifungo na adhabu with welcoming hands and positivity na asaidiwe mentally Ku recover sasa kitaalamu.

Screenshot_20210618-145151~2.jpg
 
Kajutia kosa lake la kuwafokea mashabiki waliokuwa wakimzomea kwa madai kwamba mabao mawili aliyofungwa yalitokana na uzembe wake.

Hivyo kwa kuwa kaonyesha uungwana kwa kuomba radhi basi na mashabiki nao waonyeshe uungwana kwa kumsamehe bure ila next time, awe makini kwani kuna watu wanabeti hizi mechi tena kwa hela nyingi.
 
Kosa la kipa wangu ni kuonyesha vidole hata kama umezidiwa kiasi gani yeye ni kioo cha jamii, Dunia nzima inamtizama wakiwemo watoto wetu wanaojifunza na kuiga kupitia kwake, kitendo hiki kimemtia doa sana, mengine yote nakubaliana nayo lakini kwa hilo la vidole amelikosea taifa na wenye mpira wao ikiwemo mashabiki na klabu yake.
 
Metacha ni binadamu kama binadamu wengine. Haishangazi akiteleza.

Lakini pamoja na hayo yooote tukumbuke ana wajibu. Akibugi lazima awajibike.

Eric Cantona, aliwajibika. Tena alikamuliwa vizuri tu.

Ilikuwa 1995 alipomshambulia kwa kung-fu shabiki. Kwanza alihukumiwa kwenda jela wiki mbili. Akakata rufaa, badala ya lupango, mahakama ikamhukumu kufanya kazi za kijamii kwa saa zisizopungua 120.

Haikutosha, klabu yake nayo ikamkamua faini £30,000 (sh. milioni 96 na ushee)!

Wachezaji lzm wajue kuwa kuna haki na wajibu. Yes, dai haki yako wakati huohuo ukitimiza wajibu wako.

Huwezi kuonesha kidole cha kati tena katika mechi inayorushwa live, ukachekewa.
 
kwa kosa gani?nimekuwa provoked siwezi kuomba msamaha,kabla mimi sijatumia busara walipaswa kutumia wao kwa kutonizomea
 
Asamehewe tu ili acheze mechi ya mtani tarehe 3.
Kumbe ndio huyo kipa mnayemtegemea halafu mnamletea mdomo, ningekuwa Mimi hata msamaha nisingeomba, wanafikiri kuwa kipa ni mchezo mashabiki walikuwa wanatoa maneno ya shombo atoke mmoja akadake na yeye aendelee kutumia adhabu Kwanza wamesema hawamtaki.
 
Ili mkifungwa na Simba msingizie hamkuwa na kipa nzuri [emoji2][emoji2][emoji2]
Timu kwa ujumla ni mbovu ...na yeye akiwemo, Kipa mjinga kuwahi kutokea Tanzania....Yanga kwa sasa ni kutupa matakataka yote yaliyoicost Timu. ...akiwemo Mwakalebela[emoji1732][emoji1732][emoji1787]
 
Timu kwa ujumla ni mbovu ...na yeye akiwemo, Kipa mjinga kuwahi kutokea Tanzania....Yanga kwa sasa ni kutupa matakataka yote yaliyoicost Timu. ...akiwemo Mwakalebela[emoji1732][emoji1732][emoji1787]
Kabisa ,[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom