Inaumiza xn ila kwel jaman ndugu zangu 2nateswa na tunaumizwa kisaikolojia vyombo vya habari vipo kwa nini tuctangaziwe rasmi?????hata kama kwel serikal haina hela iweke mambo bayana tutaridhika tu ila kilichobak ni cc kujishughulisha na mambo mengne 2kitegemea hii serikal 2takufa tukiwa tumesimama.....wenye vyao watubana jaman......
Hela!! Hela!! Wallah mwakani lazima nikapige kura mara 2!!
ha!ha!ha!ha! utakamatwa kaka! cha msingi we mwalimu shawishi watu wengi zaidi ili wakichukie chama sikivu!,ili 2015 wajue kuwa waalimu si watu wa kuchukuliwa poa!
Bilioni 480 zimeibwa hazina ndo mana hawatangaz ajira mambo ya bongo hayo
Shall trigger revolution coz these our brothers...your pain,yet more my pain......
Walimu wenzangu ukweli nawaombeni 2015 tuchukue hatua tukipumzishe hiki chama cha magamba ccm tumechoka kudharaulika
...Hata kama kweli Serikali haina fedha iweke mambo bayana tutaridhika tu...