clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 101
- 24
kweli kama ni kuchoka nmechoka miez 9 jobless
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seriksli haina pesa. Pesa yote imepelekwa Bunge la katiba. Kuweni wapole.
maixha haya toka mwaka jana mmmh!
Nikesho tar:20/ 02 /2014.
Baada ya hapo nafata Transcript yangu chuo na kuanza safari ya kuelekea Botswana ili niiache nchi yangu ifanye siasa kwanza.
deadline ya ajira za walimu ilikua leo! Mbona hizo ajira hazijatolewa?
your pain,yet more my pain.......
usiropoke mkuu kwa taarifa ambazo hauna uhakika nazo,Fedha zote za mchakato wa katiba zilishapangwa katika bunge la bajeti lililopita,kusema fedha zimekwenda huko hakuna ukweli wowote
Endeleeni kusubiri ndio utajua nilikuwa na ropoka au wewe ndio unaropoka...... Usibaki una unasubiri mlango mmoja ufunguliwe wakati kuna milango mingine wazi..... Ni mtizamo tu
mbona unasemea nyoyo za watu? una uhakika gani kama hao wanasubiria ajira hizo pekee? busiest man find the most time!
Keep it the way you think its right in your own...
your pain,yet more my pain.......
hahaha! Bila shaka wewe ni mwl wa literature!! Hivi huyo ni Guebuza eeeh! Kitambo ujue!!
Armando Guebunza mkuu!!!!!
DONT MAKE MOUNTAIN OUT MOLEHILL, IT's daylight dreaming WAKE UP!