Pia hawa nao sijui wamezimwa: Nikolaos Gyan, Paul Bukaba, Juuko Murshid, James Kotei, Emmanuel Okwi, Shiza Kichuya, Zana Coulibally, Asante Kwasi?Na ajibu kapewa? Niyonzima katumiwa huko alipo?
Wote wamepewaPia hawa nao sijui wamezimwa: Nikolaos Gyan, Paul Bukaba, Juuko Murshid, James Kotei, Emmanuel Okwi, Shiza Kichuya, Zana Coulibally, Asante Kwasi?
Yote yatatumika kulingana na muktadha.Kwa hiyo ni rasmi sasa watatambulika kama Bodaboda fc! Badala ya mbumbumbu/mikia fc.
Yupo Namungo fchuyo bukaba yuko wap ck hz
Ni kawaida yao kudhulumu,kwani umesahau rambirambi za Mafisango.Pia hawa nao sijui wamezimwa: Nikolaos Gyan, Paul Bukaba, Juuko Murshid, James Kotei, Emmanuel Okwi, Shiza Kichuya, Zana Coulibally, Asante Kwasi?