Hatimae MO atekeleza ahadi yake kwa Wachezaji wa Simba

Hatimae MO atekeleza ahadi yake kwa Wachezaji wa Simba

ZionGate

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
6,362
Reaction score
2,991
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ameitimiza ahadi yake ya kuwakabidhi wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi pikipiki aina ya Boxer, simu ndogo pamoja na Rice Cooker.
Mo Dewji alitoa ahadi ya kuwapa bodaboda wachezaji wote wa Simba baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Waliokabidhiwa zawadi hizo ni wachezaji wote na viongozi wote wa benchi la ufundi walikuwepo kwenye timu hiyo msimu uliopita.
simba%2Bpic.jpeg
 
Hizi pikpik mchezaji anaweza mpa kijana huko mtaani akafanyia boda boda akawa anamletea 10k kwa siku kwa mwez 300k (ambayo ni sawa na mshahara wa molinga kwa mwezi)

So far hizi pikipiki wangepewa gongowazi ingekua tabu sana maana molinga akikaa kwenye hiyo pikipiki tairi lazima zitapasuka na ring kuvunjika
 
Pia hawa nao sijui wamezimwa: Nikolaos Gyan, Paul Bukaba, Juuko Murshid, James Kotei, Emmanuel Okwi, Shiza Kichuya, Zana Coulibally, Asante Kwasi?
Ni kawaida yao kudhulumu,kwani umesahau rambirambi za Mafisango.
 
Inabidi tufanye mpango pale msimbazi kariakoo tuanzishe kijiwe cha bodaboda..!!
 
Back
Top Bottom