Hatimae Mwezi huu (Agosti, 2021) nahamia kwangu ili niwe huru kupiga muziki kwa sauti ya juu

Hatimae Mwezi huu (Agosti, 2021) nahamia kwangu ili niwe huru kupiga muziki kwa sauti ya juu

Kuna jamaa yangu alikua anakaa uswahilini nyumba ya udongo ila ina umeme Sasa akanunua mziki mkubwa kinyama akawa akipiga mziki ile mikito ya nguvu had udongo wa juu unadondoka mwenye nyumba alimtimua na radio yake[emoji3]
 
Hongera sana Mkuu kufanikiwa kufikia maisha ya ndoto zako. Raha jippe mwenyewe hii dunia, hapa mimi nilipo wkend kama ya leo ni mwendo wa Rhumba kali zoooote na kinywaji unazozijua wewe na Kinywaji bariiiiiiiiiiidi mpaka nafsi inasema YES! Kuishi Kijijini raha sana
daah mkuu coment yako imenitia nguvu na ujasiri nimejiona ni mtu mpya ahsante sana mkuu wewe ni mzungu wa roho hauna usokorokwinyo watu wanadhani kufanikiwa lazima umiliki mabilioni na hawajui kuwa kuna wengine tunafurahi tu hata kujenga nyumba ya tope maana tunaona tulipo ni nafuu kuliko tulipotoka acha tuenjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me bado nimepanga ila juzi nimenunua sofa kali nifanyeje ili majirani wajuee[emoji12][emoji12]
Hongera mdogo wangu kuna watu wanaamini ili ufurahi lazima umiliki mamilion ya hela na hawajui kuwa kila mtu hufurahia alichonacho kwa kurejerea alipotoka na alipo na ndio inatupa ari ya kupambana zaidi hongera sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejenga Nyumba au Umepanga tofali?
duuh mkuu hata ningepanga magogo bado furaha yangu iko palepale maana kila mtu anafurahia kulingana na alipotoka sio alichonacho ingetokea familia yangu ilikuwa inamiliki nyumba alafu mimi niapnge tofari ningekuwa wa ajabu sana ila kama nilipotoka na nilipo kuna unafuu no matter ni nini lazima nifurahi na niamini inawezekana hata kufikia huko wao walipo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom