Hatimae Mwezi huu (Agosti, 2021) nahamia kwangu ili niwe huru kupiga muziki kwa sauti ya juu

Weka earphones au soundproof Ili usiwe kero kwa wengine
 
Mkuu kufungulia mziki mkubwa kwebye gari ni hatari kwa maisha yako, otherwise uwe makini sana barabarani huko.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnenguaji mzuri
 
Ha ha ha tena jipu la kalio au kwenye uvungu wa kalio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
daaaaa wewe jamaa comedian Kama Mimi vile!

Kwani mc Pilipili si ndugu na job ndugayi hata hachekeshi!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Unaweza kupanga nyumba na ukafungulia HOMTHIETHA yako max volume na Unaweza ukahamia kwako na ukashindwa kusikiliza huo mziki kwa kwa max volume vilevile

Mimi nakupa hongera kwa ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…