Hatimae nimefanikiwa kuvuta ka babywalker kangu!

Hatimae nimefanikiwa kuvuta ka babywalker kangu!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Ni ka SUV ambako Kanatembea kilomita 40 kwa lita moja ya wese na kanaenda eneo lolote katika nchi hii!🤗🤗🤗
G.jpg
 
Mbele nakaa mimi na wife wangu halafu nyuma kuna ka space kadogo ka kuweka rambo ya kitimoto!🤗🤗🤗
kwahiyo wewe umenunua gari kwa ajili yako na my wife wako tuu au sio!
 
Mbele nakaa mimi na wife wangu halafu nyuma kuna ka space kadogo ka kuweka rambo ya kitimoto!🤗🤗🤗
Sasa hivi hatuhitaji tena kwenda Mbezi Loius kwa ticket za kwenda home. Ni kujaza tank mafuta tu.
 
nimeogopa kuingia ndani zaidi nisijepeperusha vidosho wa JF mana lazima utaopoa tu
 

Attachments

  • 1614624301210.png
    1614624301210.png
    92.2 KB · Views: 1
Unavyopenda wanawake wenye matako makubwa(chura) siku umepata ataweza kuingia kwenye hiyo gari kweli?

Mkeo atakuwa hana tako(chura)[emoji1]
 
Back
Top Bottom