Hatimae nimefanikiwa kuvuta ka babywalker kangu!

Hatimae nimefanikiwa kuvuta ka babywalker kangu!

Kwa ufupi huu! Hakakawii kupiga U-turn bila muendeshaji kujua!!!

Huwezi kulala humu wkt wa dharula km siku ilee mama Rhobi alikasirika!!
 
Unavuta kwa kamba au unakakalia kwa juu?.
 
Back
Top Bottom