Jkl
Member
- Nov 22, 2019
- 50
- 59
Kijiji kipo juu milimani , miundombinu mibovu hasa barabara hamna maji ya bomba , ni kwenda mtoni , network ni YAS tu,
Shughuli za kilimo cha chai ndo kipo huku ila kiwanda kimefungwa .
Serikali ifanye uwekazaji huku hasa barabara.
Nimetumia 20k kutoka korogwe mji hadi huku.
Bora ningebaki mzizima niendelee kupiga boda aisee , doh.
Mwenye connection anisaidie nihame huku jamani.