Hatimae nimefika Kijiji cha mpale korogwe tanga.

Jkl

Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
50
Reaction score
59
Kijiji kipo juu milimani , miundombinu mibovu hasa barabara hamna maji ya bomba , ni kwenda mtoni , network ni YAS tu,
Shughuli za kilimo cha chai ndo kipo huku ila kiwanda kimefungwa .
Serikali ifanye uwekazaji huku hasa barabara.
Nimetumia 20k kutoka korogwe mji hadi huku.
Bora ningebaki mzizima niendelee kupiga boda aisee , doh.
Mwenye connection anisaidie nihame huku jamani.
 
Tuwekee na kapicha tafadhali kakusindikizia vionjo vyako
 
Kijiji kimegoma kupigwa hata PICHA?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ukipata bint wa Kisambaa kuhama utasahu.
 
Vipi totozi huko?
 
Tafuta demu akupoze machungu
 
Ni ajira ya serikali iliyokupeleka huko ama?
 
Hivi mnavyoomba connection kwa watu msiowajua,huwa mko serious kabisa?
 
Na bado usikute wananchi wa huko wanaililia CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…