Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Mara nyingi nilikuwa nikigeogle baadhi ya vitu vingi naona vinakuja kutoka humu,kwaiyo nikaamua kuanza kufuatilia taratibu,na mwisho nikaamua kujiunga
Ulikuwa unagoogle uchawi nini? Ukawa umekutana na Uzi za mshana Jr.
 
Ulikuwa unagoogle uchawi nini? Ukawa umekutana na Uzi za mshana Jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umenichekesha sana..

Niligoogle meditation ndo nikaona Uzi wake...

Ila kuijua jamii forums nili Google dalili za ugonjwa Fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…