Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Hatimae nimejiunga Jamiiforums

Karibu mgeni, nitakuonyesha kila jukwa nitakushika mkono,
Ahsantee jaman

Ayaa anza kunitembeza kila jukwaa sasa ila Kule wanakoandika kidhungu ucnipeke tafadhali[emoji2]
 
Mnipokee humu niwe mmoja wenu(Mwanafamilia ya jamii forums)
Haya ,chukua hizo zawadi zako za sikukuu
1b96790f497ee2c461ac0174888c63d6.jpg
b18006d078968af72dbbbd716f4f57d0.jpg
 
Back
Top Bottom