Hatimae nimejiunga Jamiiforums

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umenichekesha sana..

Niligoogle meditation ndo nikaona Uzi wake...

Ila kuijua jamii forums nili Google dalili za ugonjwa Fulani
Si ajabu ulikutana na Uzi wa mzizi mkavu... Ulikuwa ugonjwa gani huo? Sa muda mwingine acha kugoogle dalili ,nenda hospitali kabisa... Karibu sana lakini
 
Si ajabu ulikutana na Uzi wa mzizi mkavu... Ulikuwa ugonjwa gani huo? Sa muda mwingine acha kugoogle dalili ,nenda hospitali kabisa... Karibu sana lakini
Hata ckumbuki ulikuwa Uzi wa nani,nilisoma tu
 
Mkuu kutoka kwenye u saint ivuga hadi u Santa claus kugawa zawadi kwa watoto wazuri,,, ni level za ajabu... Salute kwako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hatareeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…