jau jau
Member
- Nov 5, 2017
- 38
- 30
Si ajabu ulikutana na Uzi wa mzizi mkavu... Ulikuwa ugonjwa gani huo? Sa muda mwingine acha kugoogle dalili ,nenda hospitali kabisa... Karibu sana lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenichekesha sana..
Niligoogle meditation ndo nikaona Uzi wake...
Ila kuijua jamii forums nili Google dalili za ugonjwa Fulani