Hatimae nimemng'oa dogo madego mawili chap

😂😂Madogo marefu alafu yanaleta dharau zisizoeleweka kwa sisi wakufunzi.
 
Kumzaba ngeta , umekosea zaidi japo yeye alikuwa na kosatayari

Sijajua milazenu ,hiyo bodi ilitakiwa isikilize lalamiko lako juu ya dogo
 
Hata sijui nacheka nini😂😂😂,. Usisahau kuleta mrejesho
Mrejeaho ni baada ya saa kumi we ngoja niimalize hii Valeur. Tena nimekaa nayo juani ili ipande vizuri alafu hiyo saa kumi ndiyo niende kurap kilatino sasa.
 
Msibani hata kuongea na watu kwenye moto ni kazi. Pia msosi wanagawaga wanawake. Pia ukiendeleza ujinga huu wa kulazimisha heshima utakuja kutiwa kilema.
Ya kugawa msosi wanawake ni mila za kwenu mzee usikalili, kwetu wanawake wanagawa msosi ila asilimia kubwa ni kazi ya wanaume. Wanawake wengi wanakaa jikoni kupika na kupakua huku wakijifuta machozi ya msiba kwa utulivu. Maana wazee hawapendi vilio vitokee jikoni.

Kuhusu swala la kitiwa kilema nafkiri utaanza wewe kamanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…