Konya
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 921
- 118
Akishirikiana na tanesco vizuri, atakuwa anaiweka kwenye jokofu, anaitoa tu saa ya kupooza moyo wake na kuirudisha
daah! ndio,nimeipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishirikiana na tanesco vizuri, atakuwa anaiweka kwenye jokofu, anaitoa tu saa ya kupooza moyo wake na kuirudisha
Ninashukuru kwa mawazo yenu, nilichelewa kuja kuwajibu kwani kama mnavyojua hii ni holiday season, my sweetheart amenipeleka vacation. mahusiano yetu bado yako kwenye early stage kwa hiyo muda mwingi hasa kwa likizo hii tunautumia kuwa klaribu na kujuana zaidi. Bila shaka tutakapomaliza holiday yetu nitarudi ili kuweza kuwasalimia tena, kama haamtajali naweza kuwawekea baadhi ya picha zetu za holiday....zile zingine naweza kuziweka jukwaa la wakubwa pia.
mmmh......... best na picha tena uziweke? I guess hizo za kuweka kwenye jukwaa la wakubwa zimekaa kikubwa kubwa sio?? Have that privacy dear, u can express yourself but not exposing urself! Taarifa tu yatosha kutufanya tukutakie heri mpendwa, iwe shukrani or something else!! Best wishes to both of you!