kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kazi niliiona tu kwenye site fulani inaitwa zoom nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi fulani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na nusu, probation ni miezi mitatu.nimeamua tu kesho nikadondoshe wino huku nikiwa naskilizia kazi zingine mdogo mdogo.