kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Hongera mashaallahKazi niliiona tu kwenye site flani inaitwa www.zoom.com nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi flani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na nusu,probation ni miezi mitatu.nimeamua tu kesho nikadondoshe wino huku nikiwa naskilizia kazi zingine mdogo mdogo.
Asante mkuuHongera mashaallah
Hongera mkuu japo wahindi wasumbufu sana ila kaza tu ni heri usumbufu kuliko kusota mtaa.Kazi niliiona tu kwenye site flani inaitwa www.zoom.com nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi flani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na nusu,probation ni miezi mitatu.nimeamua tu kesho nikadondoshe wino huku nikiwa naskilizia kazi zingine mdogo mdogo.
Kazi niliiona tu kwenye site flani inaitwa www.zoom.com nikaomba kizembe tu,last week wakaniita kwenye interview, ni wahindi flani,leo wamenitumia email kuwa nimepata kazi na mshahara utakua laki 6 na nusu,probation ni miezi mitatu.nimeamua tu kesho nikadondoshe wino huku nikiwa naskilizia kazi zingine mdogo mdogo.