sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hivi haya yote yanawezekanaje..
1. Kichuya nayemfahamu mimi, ambaye tukiona anaenda kupiga kona, tunaanza kushangilia goli.. Siku hiyo anapata nafasi zaidi ya 7, zote anapaisha kweli? Hapana.
2. Tangu namfahamu beki 'makini na anayetumia akili nyingi sana' Kapombe, sijawahi kuona akifanya uzembe kama ule.. Inakuaje ikatokea Mwanza?
3. Mbao mlimpa mini MK14?? Yeye na kipa, eti anakosa.. kweli?? Hapana.. Sitaki kuamini kabisa.
4. Yule specialist wa shuti goli, Mo Ibrahim siku hiyo kila akikunjuka mpira unawababatiza mibeki ya Mbao. Hii kitu si ya kawaida kabisa.
6. Mpira tumeupiga mwingi sana [nadhani ndo timu iliyopiga mwingi sana mpaka sasa], Inakuaje tumeshindwa kuwafunga?
Achana na hayo.. Mimi sembo 'born town kitambo'... Siku ya mechi nikapoteza simu katika mazingira ya yaliyojaa utata mwingi saaana... Ila kwa msaada wa 'vyombo vya usalama' ndo natoka kuichukua mda huu huku wilayani Magu. Nimeikuta kwa Mganga maarufu sana hapa wilayani.
Nikiripoti toka kwa 'Mganga Wao' hapa wilayani Magu... Ni mimi Sembo wa Simba TV.