Hatimae Nimerejea Hewani

Hatimae Nimerejea Hewani

Naona Manara kapata mwokozi toka MV Nyerere. Pole mzee kwa kuzama, wazamiaji wamekuibua.
Mkuu, Nagwanda sijaona sikuibiwa simu. Nagwanda sijaona Kapombe hakufanya kosa loloote n.k
 
Naona Manara kapata mwokozi toka MV Nyerere. Pole mzee kwa kuzama, wazamiaji wamekuibua.
Mkuu, Nagwanda sijaona sikuibiwa simu. Nagwanda sijaona Kapombe hakufanya kosa loloote n.k
 
Mechi inayofuata mnyama anakula mbili na msambaratiko utaanzia hapo.
 
Ule mpira nimeuona wote. Mbao lwaliroga wakaweka majini golini. Basi wachezaji wote wanaona noma kusema ukweli,wanajua ukweli wa majini matatu yaliyokuwa yakiwatisha.Uchawi upo
 
Back
Top Bottom