HATIMAE NIMEUTIA WOOOOTE NA UMEINGIA...aiseee

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
560
Wadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na mchuzi wote umeingia..siamin kwakweli
 
Hiyo heading!,Au ndio muendelezo wa wimbo wa wagosi wa kaya?
 
Kitakachofuata ni kulala na kuchungulia chini ya gari, ili ajue kama ya kike au ya kiume!!ii!! ei.
 
Kitakachofuata ni kulala na kuchungulia chini ya gari, ili ajue kama gari ya KIKE au ya KIUME!!ii!! ei.
 
Hiyo title imemishitua sana nikajua nipo kule chini kabisa.
 
nahisi haumaanishi hotpot. Kuna kitu behind the scene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…