HATIMAE NIMEUTIA WOOOOTE NA UMEINGIA...aiseee

HATIMAE NIMEUTIA WOOOOTE NA UMEINGIA...aiseee

Subirini...na bado wataondoka wengi sana. Kila atakayefumbua macho amtakuwa nae, usingizi unaondoka mnaitaji kuwapulizia dawa nyingine hao jamaa zenu mliobaki nao ili wasije wakaisha.

Kisha nikamwagia.....
 
Wadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na mchuzi wote umeingia..siamin kwakweli

Wakati unautia hukumwaga pembeni?
 
nainaonekana huwa hukosi kule aisee maana umekuja mbio??
wabongo kwakuoenda ndedeso

Hata sasa hivi nimetokea huko, sasa nikajua mh. Mstahiki Meya leo ameamua kumwaga mboga hapa uwanjani.
 
Umetoroka milembe dodoma?? Nenda kamalizie sindano ww'
 
umeshtua wengi, kumbe hitpot, hongera kwa kuingia na samaki wake
 
Kala cha Arusha huyo, angekula cha Sumbawanga moja kwa moja Milembe.
 
Atapatafuta arudi lakini kamwe atapapata atapotea.Labda kama ulikuwa unamanisha arud wodini atafika lakin sio hodin
Atapapata au hatapapata? Naona kama hatapapata ndio inaleta maana vile...
 
Wadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na mchuzi wote umeingia..siamin kwakweli
Umeutia wote bas ulikokua unaingia kulikua kupana
 
Wadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na mchuzi wote umeingia..siamin kwakweli
yametoboka mchuzi unarudi china
 
Back
Top Bottom