Subirini...na bado wataondoka wengi sana. Kila atakayefumbua macho amtakuwa nae, usingizi unaondoka mnaitaji kuwapulizia dawa nyingine hao jamaa zenu mliobaki nao ili wasije wakaisha.
nainaonekana huwa hukosi kule aisee maana umekuja mbio??
wabongo kwakuoenda ndedeso
Wadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na mchuzi wote umeingia..siamin kwakweli
Wakati unautia hukumwaga pembeni?
nainaonekana huwa hukosi kule aisee maana umekuja mbio??
wabongo kwakuoenda ndedeso
Siyo kila homa ni malaria, nyingine ni nyege
Wakati unautia hukumwaga pembeni?
​maumivu ya kichwa huanza pooole poole
gonga like then tembeaAsante sana,umenichekesha teh! teh!
Siyo kila homa ni malaria, nyingine ni nyege
Atapapata au hatapapata? Naona kama hatapapata ndio inaleta maana vile...Atapatafuta arudi lakini kamwe atapapata atapotea.Labda kama ulikuwa unamanisha arud wodini atafika lakin sio hodin
Umeutia wote bas ulikokua unaingia kulikua kupanaWadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na mchuzi wote umeingia..siamin kwakweli
yametoboka mchuzi unarudi chinaWadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na mchuzi wote umeingia..siamin kwakweli