Hatimae nishafika.

Hatimae nishafika.

ladytk

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
163
Reaction score
45
Hatimae mwalimu mpya nishafika kwenye kituo changu cha kazi kwimba duu maendeleo f kijijini mbaya lakini ndio kazi eeh mungu nisaidie.
 
Fanya kazi iliyokupeleka huko a cha kujishauwa.

BTW kuwa makini ukishangaa utaishia kuwa chapombe wa pombe za kienyeji.
 
Hatimae mwalimu mpya nishafika kwenye kituo changu cha kazi kwimba duu maendeleo f kijijini mbaya lakini ndio kazi eeh mungu nisaidie.

kwa vile umeliona hilo wakomboe wanakijiji wako..
 
Nipe stori za huko zaidi, kuna dada yangu anakuja huko.
 
acha mbwembwe si useme tu ni wewe,au sikuizi umeshaanza udada?

Nkianza kunyemelea udada ntakuwa shoga.

Kuna dada yangu kapangiwa kwimba na hivi sasa yupo njiani kuingia Mwanza (alitoka jana Dom)

Mie nmepangiwa Kyela aisee, kuna mawese kule, maparachichi meeeeengi bila kusahau ubwabwa super unao uzwa kwa gharama Tz nzima ila nikiwa kule bei cheeeeeee, kitu kingine kule nnapakana na Malawi, najua unajua nn kitaendelea nikiwa mjasilia mali.

Mungu anipe nini mie?
 
yani wewe nakutamani kama nini wamekupangia kyela kwetu hadi raha.
 
Fanya kazi iliyokupeleka huko a cha kujishauwa.

BTW kuwa makini ukishangaa utaishia kuwa chapombe wa pombe za kienyeji.

Sijishaui naongea ukweli au kwa mtazamo wako huko ni kujishaua mkuu ulitaka nisemeje ebu nisahihishe.
 
ha ha mwalimu acha mashushu !! Dah twenzetu nakitoa hivyoo!! Ndani ya basi!

kila la kheri mkuu.nije huku nirudi tena home si nitakua nachezea hela huku mbali jamani kuikuta lami pagumu.
 
Mwalimu, Kwimba gani unayoisema? Mbona usafr mwingi tu toka kwimba kwenda jiji la mwanza? We chapa kazi uwe chachu ya maendeleo hapo
 
ukiona umeshindwa acha kazi urudi kwenu mjini! MUNGU HANA MDA WA KUKUSAIDIA,kwani we umepata ajira saiz anahangaika na ambao hawajapata ajira! EE MUNGU BABA WASAIDIE WALE WALIMU WAPYA AMBAO HAWAJAAJILIWA,kabla hatujapata mshahara wa kwanza na wao wawe wameajiriwa.AMEN
 
Back
Top Bottom