Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,098
- 3,038
Unamzigo kiasi gani?
Mkuu unataka ufanye udalali sio? Mzigo upo wakutosha we changamkia dili nikamate fursa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamzigo kiasi gani?
Mkuu unataka ufanye udalali sio? Mzigo upo wakutosha we changamkia dili nikamate fursa.
Hatimae mwalimu mpya nishafika kwenye kituo changu cha kazi kwimba duu maendeleo f kijijini mbaya lakini ndio kazi eeh mungu nisaidie.
Mkuu wewe dhana maendeleo ni kitu gani hasa?kwa nini umeenda kijijini kabla ya muda wa kuripoti halmashauri? Nani amekupangia kituo huko kijijini kabla ya muda?