Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
kwanza kuendelea ni ngumu sana utajiona upo juu kwa kujifananisha na watu wa kijijini ila ukifika town unaweza ujione we ndio maskin wa mwisho
ha ha ha naelekea kishabu cjui kishapu!! He he he! Wee nipo ndani ya ABC burudaaniii murua hapa na soda yangu mziki kwa mbaali mwalimu mie !!!
Ukienda kusoma masters ni kwa ajili ya nini?
Usafiri unataka kwenda wapi? Acha uzururaji mwalimu. Piga kazi na muda wa ziada ulime. Vizia katibu kata hapo akuwowe shaaaa! Mungu akupe nini?
hata niwe mkuu wa shule nipate muda mwingi wa kufanya mambo yangu.
Pambana Mwalimu , 'u can'
kwanza kuendelea ni ngumu sana utajiona upo juu kwa kujifananisha na watu wa kijijini ila ukifika town unaweza ujione we ndio maskin wa mwisho
mpatie jamaa namba yake atampokea waanze maishaNipe stori za huko zaidi, kuna dada yangu anakuja huko.
ila umewahi sana si mliambiwa mfike kuanzia tarehe 1Hatimae mwalimu mpya nishafika kwenye kituo changu cha kazi kwimba duu maendeleo f kijijini mbaya lakini ndio kazi eeh mungu nisaidie.
Hatimae mwalimu mpya nishafika kwenye kituo changu cha kazi kwimba duu maendeleo f kijijini mbaya lakini ndio kazi eeh mungu nisaidie.
Hatimae mwalimu mpya nishafika kwenye kituo changu cha kazi kwimba duu maendeleo f kijijini mbaya lakini ndio kazi eeh mungu nisaidie.
kweli unapenda kazi yako, vp kuna maji na umeme huko?
Na mimi niko huku bwana ebu ni Pm, tunaweza anzisha Jf branch
hali ya hewa nzuri sana.pia ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo ila usafiri tabu.
Mwalimu umeolewa?
ila umewahi sana si mliambiwa mfike kuanzia tarehe 1
sijakuelewa mkuu