Hatimae nishafika.

Hatimae mwalimu mpya nishafika kwenye kituo changu cha kazi kwimba duu maendeleo f kijijini mbaya lakini ndio kazi eeh mungu nisaidie.

Mkuu wewe dhana maendeleo ni kitu gani hasa?kwa nini umeenda kijijini kabla ya muda wa kuripoti halmashauri? Nani amekupangia kituo huko kijijini kabla ya muda?
 
Mkuu wewe dhana maendeleo ni kitu gani hasa?kwa nini umeenda kijijini kabla ya muda wa kuripoti halmashauri? Nani amekupangia kituo huko kijijini kabla ya muda?

Chezea jasiriamali wewe fundisha siku nne katika mwezi na siku nyingine tumia fursa zilizoko mbele yako. All the best
 
duu sijui nikujibu vp kwa hiyo ulitaka nianze safari tar mosi nini halafu nije nifikie kwako si ndio.huo usungusungu kwenu na kama huijui dhana ya maendeo basi wewe unatakiwa uzaliwe upya maana unavyoonekana hujui chochote ktk hii dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…