Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

Kamnunua apige naye picha ili aonekane hapumuliwi... Huyo mpenzi ni janja janja.

Sasa kwa mfano ni nini kwenye hiyo picha kinathibitisha kuwa [1] huyo ni mpenzi wake na [2] kwamba 'hapumuliwi'?

Aisee kaazi kweli kweli yaani.
 
Upuuz huo atutumie kama mind avyomfanyaga yule mganda anapga pcha na mpnz wake kama pcha za wanafunz wa LA saba wapo kwenye mtihan wa mwsho
 
Sasa kwa mfano ni nini kwenye hiyo picha kinathibitisha kuwa [1] huyo ni mpenzi wake na [2] kwamba 'hapumuliwi'?

Aisee kaazi kweli kweli yaani.
Kulingana na kashfa aliyo nayo ni rahisi kuamini anakanusha kidizaini.
 
Kama kaandika basi itakuwa si hapo kwenye picha na kilichopo ni imaginations tu za watu ambao wana obsession na maisha yake binafsi.

Sielewi kwa nini watu wanakuwa na raghba ya kutaka kujua analala na nani.
basi itoshe kusema miafrika ndo tulivyo
 
Lakini wakuu, mi ninavyosikia huyu msela wetu ni SIGARA KALI.
 
Marehemu Ndanda Kosovo alipiga picha na mzungu wa UDSM. Magazeti ya Shogongo yakaripoti ukurasa wa mbele kabisa kwamba ni mpenzi wake. Mzungu alikuja juu nusura amtoe meno ya mbele Ndanda Kosovo. Mkiona picha sio lazima muitengenezee story.
 
Ukiambiwa unapumuliwa ni kashfa ambayo haifutiki kiurahisi itamfuata mpk kaburini hata aweke picha anamla mtu
 
Huyo demu anapatikana pande zile.. hana hiyana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…