Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata mama anaweza asijue ukweli.Mama ndo anajua ukweli, kama zari anavyojua ukweli wa baba wa tiffa na prince
Hamna mama asiejua baba halisi wa mtoto, tusidanganyane hapaHata mama anaweza asijue ukweli.
Imagine kama alilala na wanaune wanne ndani ya siku tano.....
Hapo atajuaje kuwa ndo huyu na si yule?
Ngoja nikutafutie clips za vipindi vya Maury Povich.Hamna mama asiejua baba halisi wa mtoto, tusidanganyane hapa
Siwezi jua wanajuaje mkuu, maana wanawake sio watu rahisi kuwaelewa, ila nnachojua ni kwamba wanajuaNgoja nikutafutie clips za vipindi vya Maury Povich.
Ila hujajibu kuwa kama mwanamke amelala na wanaume wanne ndani ya siku 5 na kupata mimba atajuaje nani ni mhusika.
Unaweza kujibu hilo?
Ngoja nikutafutie clips za vipindi vya Maury Povich.
Ila hujajibu kuwa kama mwanamke amelala na wanaume wanne ndani ya siku 5 na kupata mimba atajuaje nani ni mhusika.
Unaweza kujibu hilo?
Unasema huwezi kujua wanajuaje lakini hapo hapo unasema kwamba unachojua ni kwamba wanajua....Siwezi jua wanajuaje mkuu, maana wanawake sio watu rahisi kuwaelewa, ila nnachojua ni kwamba wanajua
Hahahahaa, ngoja waje watuambie wanajuajeUnasema huwezi kujua wanajuaje lakini hapo hapo unasema kwamba unachojua ni kwamba wanajua....
Kabisa huioni contradiction ya kauli yako?
Funny[emoji23] .
Ni mwendawazimu pekee atakayeshindwa kung'amua Ommy kamaanisha nini kwa picha ile.Kwani nikipiga picha na Nifah nikapost mutajua kama ni demu wangu?
Unajua kuwa wakati mwingine unaweza kudhani unajua wakati ukweli wa mambo ni kwamba hujui na unakuwa hujui kama hujui?Hahahahaa, ngoja waje watuambie wanajuaje
Umeshinda mkuuUnajua kuwa wakati mwingine unaweza kudhani unajua wakati ukweli wa mambo ni kwamba hujui na unakuwa hujui kama hujui?
Nachokiongelea ni hali halisi na si ya kufikirika.
Wapo wanawake ambai hawajui kwa uhakika baba wa mtoto au watoto ni nani.
Anaesingiziwa anaweza kukanusha kwa kupima na kuweka majibu hadharani(ripoti ya dakatari)kuwa hajaingiliwa na kitu butu,au anaweza kuweka picha ya ule "nchecheme nchecheme leo....oyaaa".Ubaya wa tuhuma hii mwenye kutuhumu huwa hawawezi kuthibitisha tuhuma zao na mwenye kutuhumiwa pia hawezi kuthibitisha kuwa si kweli hizo tuhuma.
Halafu anayemwambia mwenzie anapumuliwa yeye naye kaweka kipini puani.
Naona uko unafatilia maisha ya wala vumbi..Kwa tafsiri za akili ndogo lazima liwe lake!
Naona unafatilia sana maisha ya wala vumbi, wavaa midoshoSasa kwa mfano ni nini kwenye hiyo picha kinathibitisha kuwa [1] huyo ni mpenzi wake na [2] kwamba 'hapumuliwi'?
Aisee kaazi kweli kweli yaani.
Nah wala si mashindano faza.Umeshinda mkuu
Pamoja sana mkuu, tatizo la haya mambo ni ngumu mno kuthibitishaNah wala si mashindano faza.
Ni majadiliano na maelezano tu.
Si zaidi, si pungufu ya hapo.
Be easy ma ninja.