Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

Mama ndo anajua ukweli, kama zari anavyojua ukweli wa baba wa tiffa na prince
Hata mama anaweza asijue ukweli.

Imagine kama alilala na wanaune wanne ndani ya siku tano.....

Hapo atajuaje kuwa ndo huyu na si yule?
 
Hamna mama asiejua baba halisi wa mtoto, tusidanganyane hapa
 
Ngoja nikutafutie clips za vipindi vya Maury Povich.

Ila hujajibu kuwa kama mwanamke amelala na wanaume wanne ndani ya siku 5 na kupata mimba atajuaje nani ni mhusika.

Unaweza kujibu hilo?
 
Siwezi jua wanajuaje mkuu, maana wanawake sio watu rahisi kuwaelewa, ila nnachojua ni kwamba wanajua
 
Unasema huwezi kujua wanajuaje lakini hapo hapo unasema kwamba unachojua ni kwamba wanajua....

Kabisa huioni contradiction ya kauli yako?

Funny[emoji23] .
 
Hivi huwa najiuliza habari kama hii.khaa ina umuhimu gani sasa
 
1481564263840.jpg
 
Unasema huwezi kujua wanajuaje lakini hapo hapo unasema kwamba unachojua ni kwamba wanajua....

Kabisa huioni contradiction ya kauli yako?

Funny[emoji23] .
Hahahahaa, ngoja waje watuambie wanajuaje
 
Ubaya wa tuhuma hii mwenye kutuhumu huwa hawawezi kuthibitisha tuhuma zao na mwenye kutuhumiwa pia hawezi kuthibitisha kuwa si kweli hizo tuhuma.

Halafu anayemwambia mwenzie anapumuliwa yeye naye kaweka kipini puani.
 
Unajua kuwa wakati mwingine unaweza kudhani unajua wakati ukweli wa mambo ni kwamba hujui na unakuwa hujui kama hujui?

Nachokiongelea ni hali halisi na si ya kufikirika.

Wapo wanawake ambai hawajui kwa uhakika baba wa mtoto au watoto ni nani.
 
Umeshinda mkuu
 
Ubaya wa tuhuma hii mwenye kutuhumu huwa hawawezi kuthibitisha tuhuma zao na mwenye kutuhumiwa pia hawezi kuthibitisha kuwa si kweli hizo tuhuma.

Halafu anayemwambia mwenzie anapumuliwa yeye naye kaweka kipini puani.
Anaesingiziwa anaweza kukanusha kwa kupima na kuweka majibu hadharani(ripoti ya dakatari)kuwa hajaingiliwa na kitu butu,au anaweza kuweka picha ya ule "nchecheme nchecheme leo....oyaaa".
Wataalamu wakiona wanaweza kusema ndiyo au hapana.
 
Sasa kwa mfano ni nini kwenye hiyo picha kinathibitisha kuwa [1] huyo ni mpenzi wake na [2] kwamba 'hapumuliwi'?

Aisee kaazi kweli kweli yaani.
Naona unafatilia sana maisha ya wala vumbi, wavaa midosho
 
Back
Top Bottom