Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

The bottom-line is: Huwezi kumridhisha mwanadamu. Kama ameshaamua kufikiria kitu au kufanya hitimisho...hata ungefanya nini ni ngumu kumridhisha. Labda akubali yeye kubadili fikra lakini si wewe kufanya kitu kama njia ya kumridhisha.
 
Kama wale vichuchunge heheh

Watu wanapenda mno kujifanya wajuaji.

Wanadhani wana uwezo wa kuingia kichwani mwa mtu na kujua yaliyomo kichwani mwake.

Sasa mtu kaweka tu picha lakini watu wanahitimisha kuwa kaiweka kwa lengo fulani.

Wamejuaje kuwa kaiweka kwa lengo hilo [la kuthibitisha kuwa yeye si shoga]?

Wanahisi na kusadiki tu lakini kujua hawajui na hawajui kuwa hawajui.
 
The bottom-line is: Huwezi kumridhisha mwanadamu. Kama ameshaamua kufikiria kitu au kufanya hitimisho...hata ungefanya nini ni ngumu kumridhisha. Labda akubali yeye kubadili fikra lakini si wewe kufanya kitu kama njia ya kumridhisha.

Twaib!

Ni ngumu sana aisee.

Hususan kama mtu keshajishawishi kuwa anachokidhani au kukiamini ni sahihi.
 
Kuna mshkaji alimuona dimpoz akia na mpenzi wake wala akushtuka akasema wote ni mashemeji yaani mtu na wifiake
 
hata sisi zamani kama kuna disco basi tulialika shule za wasichana , unatafuta mdada mzuri wa kuwaka unamwambia mpiga picha ukiona blues inapigwa kata picha moja then ikishasasfishwa basi mtu anajitangazia alipoa msichana mzuri!!!!!
 
Huyo mtoto anaitwa Mulky ni anatokea singida na alikuja mjini kwa biashara zile
 
Dimpoz punga weww... si ndo tuko D'salaaaaam tunaujua ukweli. Ngoja ajifiche its just a matter of time itajulikana kama ambaco wengine wooote wanaishiaga kujulikana
 
B12 mwenyewe mbona wanamsukumia mishededee tu majamaaa!! Na hata kina adam na wengineo pale mjengoni wanajua!!

Na kuna watoto wa mjini wameshamla pia!!

Kijamaa kizee kile haraf hakina hata gf.. kinataman vitoto tu na hapo kuna wiimbi kuubwa la vijana wengineo tu maofsin hapa Dar ambao ni mashoga na kimya kimya wanaliwa tu..

Dimpoz, kadinda, remtulah B12 and yhe list goes on an on.....

Nchi ishaharibika bt wao wamechagua maisha hayo sasa!!
 
Naona baada ya kublockiwa mumehamia huku mje kutoa uvivu wenu wa kufiriki huku JF!. Mshindwe na mlegee!
 
Heeeeee makubwa! Wewe si juzi ulinichamba kuwa ninashinda na kulala kwenye simu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Anyways...I'm taken,
Thank you.

Nimegundua ni popo mzur sana nyumba yetu haitaingiliwa na wajambaz maana muda wote uko majicho.
 

Acha uongo usiokua na faida kwako wala kwa jamii. B12 anasukuma watoto wa kike kama kawa na amezaa na demu mmoja hv ambaye kwa sasa anasomea urubani SA.

https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/5f2572ee1be8af768c98c4ff01c9c957.jpg[/IMG
Huyo ndio demu alizaa nae anaitwa janeth nyambo na huyo D ndio mtoto wao. Tatzo watu mnataka kila star mapenz yake myajue. Acheni uzuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…