Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wale vichuchunge heheh
The bottom-line is: Huwezi kumridhisha mwanadamu. Kama ameshaamua kufikiria kitu au kufanya hitimisho...hata ungefanya nini ni ngumu kumridhisha. Labda akubali yeye kubadili fikra lakini si wewe kufanya kitu kama njia ya kumridhisha.
Eeh haya maneno haya ? Ni mazito sana mama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawezi na hata akiweza hatofanikiwa,you are my last man standing.
Sure,nimeamini darling.
Ni kweli,ni mazito sana ila namaanisha ninachokisema.Eeh haya maneno haya ? Ni mazito sana mama
[emoji4]Kila la kheri Th Bold na Niffah
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acha tuAsante kwa support yako mkuu,nakumbuka wewe ndio wa kwanza kutushtukia humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23].
[emoji14] [emoji14]hivi jamani kwani mtu akipiga picha na trekta ni lake?!
[emoji87] [emoji87] [emoji87]kama hapgi show kam'bong'oleeni
Dimpoz punga weww... si ndo tuko D'salaaaaam tunaujua ukweli. Ngoja ajifiche its just a matter of time itajulikana kama ambaco wengine wooote wanaishiaga kujulikanaWatu wanapenda mno kujifanya wajuaji.
Wanadhani wana uwezo wa kuingia kichwani mwa mtu na kujua yaliyomo kichwani mwake.
Sasa mtu kaweka tu picha lakini watu wanahitimisha kuwa kaiweka kwa lengo fulani.
Wamejuaje kuwa kaiweka kwa lengo hilo [la kuthibitisha kuwa yeye si shoga]?
Wanahisi na kusadiki tu lakini kujua hawajui na hawajui kuwa hawajui.
Heeeeee makubwa! Wewe si juzi ulinichamba kuwa ninashinda na kulala kwenye simu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anyways...I'm taken,
Thank you.
B12 mwenyewe mbona wanamsukumia mishededee tu majamaaa!! Na hata kina adam na wengineo pale mjengoni wanajua!!
Na kuna watoto wa mjini wameshamla pia!!
Kijamaa kizee kile haraf hakina hata gf.. kinataman vitoto tu na hapo kuna wiimbi kuubwa la vijana wengineo tu maofsin hapa Dar ambao ni mashoga na kimya kimya wanaliwa tu..
Dimpoz, kadinda, remtulah B12 and yhe list goes on an on.....
Nchi ishaharibika bt wao wamechagua maisha hayo sasa!!