Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

Hatimae Ommy Dimpoz aweka picha akiwa na mpenziwe Instagram

Heeeeee makubwa! Wewe si juzi ulinichamba kuwa ninashinda na kulala kwenye simu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Anyways...I'm taken,
Thank you.
Aaah
Jamaa alikujia kwa staili kali

Nimeichukua ntaitumia mbele huko lakin
 
Kweli haters ni secret admires
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ichukue at your own risk.
Aisee kwa hyo mkishatoka huku kwenye majukwaa yenu ndio mnakuja kule kutupigia kelele[emoji35]
 
Hamna mama asiejua baba halisi wa mtoto, tusidanganyane hapa
Unavyoamini au fikiri imagine binti anabakwa na watu zaidi ya mmoja na siku hiyo anakuwa mjazito mtoto wa nani?

Au kama alovyosema mdau hapo juu siku tano mfululizo wanaume tofauti na kingine hao mademu wenyewe hata wakiwa na bwana mmoja hawajui lini wali mimbishwa halafu uniambie wanaweza kutambua nani kawamimbisha kati ya vidume kadhaa?
 
Siwezi jua wanajuaje mkuu, maana wanawake sio watu rahisi kuwaelewa, ila nnachojua ni kwamba wanajua
Wanshindwa kujua siku waliyopata mimba kama wamegongwa mfululizo na mtu mmoja ndio wajue aliyewapa mimba kama wamegongwa mfululizo na watu tofauti?
 
Hivi KWANI Ommy dimpoz akiamua kupata demu YOYOTE mkali hapa Dar anashindwa? Acheni fix WADAU plus chuki
 
Sasa inanifanya niamini kweli huyu jamaa sio rizki,
Ukweli anajikamua sana kuthibitisha kuwa yeye ni rijali
 
Nifah naomba nkuoe
Kuwa mpole mwanangu! This is her future husband.. Tayari nimeshaibaga moyo wake siku nyiiiiiiiingiii nikaufungia kwenye kiboksi niakenda kuuficha chini ya bahari ya Pacific.. Kama unaweza piga mbizi ukautafute[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heeeeee makubwa! Wewe si juzi ulinichamba kuwa ninashinda na kulala kwenye simu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Anyways...I'm taken,
Thank you.
Umeona eeehh mama! Ukiona mtu anakuandama sana, relax.. He is dying to let you know how much anakuadmire.. [emoji4]
 
Kuwa mpole mwanangu! This is her future husband.. Tayari nimeshaibaga moyo wake siku nyiiiiiiiingiii nikaufungia kwenye kiboksi niakenda kuuficha chini ya bahari ya Pacific.. Kama unaweza piga mbizi ukautafute[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umeona eeehh mama! Ukiona mtu anakuandama sana, relax.. He is dying to let you know how much anakuadmire.. [emoji4]

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawezi na hata akiweza hatofanikiwa,you are my last man standing.

Sure,nimeamini darling.
 
Kama kaandika basi itakuwa si hapo kwenye picha na kilichopo ni imaginations tu za watu ambao wana obsession na maisha yake binafsi.

Sielewi kwa nini watu wanakuwa na raghba ya kutaka kujua analala na nani.
Kama wale vichuchunge heheh
 
Back
Top Bottom