MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 766
- 792
Baada ya kutupilia mbali ombi la kundi la AFC/M23, la serikali ya kidemokarasia ya Congo, kukaa kwa ajili ya mazungumzo, waziri wa mambo ya nje, Madam Kayikwamba Wagner, ametangaza kwamba kwa sasa, kutokana za kasi na nguvu ya vita vya M23, huko mashariki mwa Congo, serikali imekaa na kuafikiana na ombi la AFC/M23.
Waziri huyu, ametangaza kwamba, wamefikia uamzi huo, baada ya kuona kwamba raia ndo wanaathirika na vita kuliko viongozi.
Waziri huyu, ametangaza kwamba, wamefikia uamzi huo, baada ya kuona kwamba raia ndo wanaathirika na vita kuliko viongozi.