princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
Ndoa sio jela kama ilivyo kwenu huko Dini inaondoa any chance ya watu kuitumia ili kuhalalisha zinaa c unaona Mh. Balozi Slaa leo katumbukia katika dhambimaana kuoa hawezi na mkewe hawezi rudiana.Ndoa za kiislam ni very simple unahitaji Shehe na masinia ya maandazi mchezo kwisha ,na mziki wa kukodi kigodoro , hata 500,000 haimaliziki.Acha waowane kila siku na kuachana.
Ndoa sio jela kama ilivyo kwenu huko Dini inaondoa any chance ya watu kuitumia ili kuhalalisha zinaa c unaona Mh. Balozi Slaa leo katumbukia katika dhambimaana kuoa hawezi na mkewe hawezi rudiana.
Lazima wazazi na mashangazi watatandika shuka jeupe pee ili washuhudie kijana Uchebe akiondoa Usichana wa kigoli Shilole.
Jamaa ana bahati sana...wengi huku wanasaka vibinti bikra lakini waapi!
Wanashindwa kuoa kisa?Nakubaliana nawe japo mkristo , mapadre na maaskofu wanatutesa kwakweli yaani vijana wengi wanashindwa kuoa
Lazima wazazi na mashangazi watatandika shuka jeupe pee ili washuhudie kijana Uchebe akiondoa Usichana wa kigoli Shilole.
Jamaa ana bahati sana...wengi huku wanasaka vibinti bikra lakini waapi!
mjin kula... kulala utalala hata policeBikra ya kazi gani kama kapata sehemu ya kulala? Mjini kodi ya nyumba tight mkuu.
OkayDogo kama haaamini vileee.. Hahahaha