Hatimae Simba aongoza ligi

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Sikumbuki mara ya mwisho Simba kukaa kileleni ilikuwa lini lakini hatimae leo kaongoza ligi.

Nadhani Matola atalala usingizi maana tayari alishaanza kudondoshewa jumba bovu.

Hongereni watani ila siku tukikutana shida ipo pale pale.
 
Sikumbuki mara ya mwisho Simba kukaa kileleni ilikuwa lini lakini hatimae leo kaongoza ligi. Nadhani Matola atalala usingizi maana tayari jumba bovu alishadondoshewa. Hongereni watani ila shida iko pale pale siku tukikutana.
Kalpana 🤣🤣🤣
 
Mitaani huko itakuwa wanasema kuwa, ligi ikiisha leo basi bingwa ni Simba hahah unazi wa soka bana.
 
[emoji881][emoji881][emoji881]
UNSTOPPABLE!!!!!
 
mbona mapema sana kusema nani yupo kileleni msishangae geita gold akakaa kileleni pia
 
watu wa Yanga sijui wanaoga au hawaogi,huwezi amini mashabiki wote niwajuao

zile jezi zao hadi leo hawajavua,sijui wanazifua saa ngapi,hivi kweli hata kama ndio ushindi

ndio mvae tshirt siku 3 bila kufua wala kubadilisha,Kavueni hayo matshirt yenu yashaanza ku smelika,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…