Hatimae Simba aongoza ligi

Hatimae Simba aongoza ligi

Sikumbuki mara ya mwisho Simba kukaa kileleni ilikuwa lini lakini hatimae leo kaongoza ligi.

Nadhani Matola atalala usingizi maana tayari alishaanza kudondoshewa jumba bovu.

Hongereni watani ila siku tukikutana shida ipo pale pale.
Taabu ipo palepaleeee,si utani mtani
 
watu wa Yanga sijui wanaoga au hawaogi,huwezi amini mashabiki wote niwajuao

zile jezi zao hadi leo hawajavua,sijui wanazifua saa ngapi,hivi kweli hata kama ndio ushindi

ndio mvae tshirt siku 3 bila kufua wala kubadilisha,Kavueni hayo matshirt yenu yashaanza ku smelika,..
Jiandae kuhesabiwa
 
Back
Top Bottom