watu wa Yanga sijui wanaoga au hawaogi,huwezi amini mashabiki wote niwajuao
zile jezi zao hadi leo hawajavua,sijui wanazifua saa ngapi,hivi kweli hata kama ndio ushindi
ndio mvae tshirt siku 3 bila kufua wala kubadilisha,Kavueni hayo matshirt yenu yashaanza ku smelika,..