Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
wamemfata RomaMakapuku wameenda Zimbabwe!
Wameona kupitana pitana kwenye posts ni uhuni wa kishamba.wamemfata Roma
Na Jembekillo alipoona ubaguzi katika makapuku forum akaenda zake ng'ambo na kuanzisha uzi maalumu wa kupeana likesTazama wale wana wa kapuku waliokuwa wakinywa na kulewa na likes
Dhoruba kubwa la uzi wa kupeana like ukawakumba na wote wameteketea mimi tu ndio niliobaki mimi kukuletea habari
Kiki 3:5
Hahaaa. Mdogo wangu ule msafara wenu si wa nchi hii ujue.Msafara wa kupeana likes haujapata wa kuusimamisha.
Labda tumuite mkulu tuongozane naye tunaweza kusimamishwa na wananchi njiani.
Hahahaaaa, siku hizi sikuoni kwenye kupeana likes dada yangu.Hahaaa. Mdogo wangu ule msafara wenu si wa nchi hii ujue.
Hhaha ,pole sana kwa kusunurika mkuu 🙄Tazama wale wana wa kapuku waliokuwa wakinywa na kulewa na likes
Dhoruba kubwa la uzi wa kupeana like ukawakumba na wote wameteketea mimi tu ndio niliobaki mimi kukuletea habari
Kiki 3:5